Nikuone Songtext
Hhhmm
Mangapi niliona
Wala sikujali
Nikafumba macho
Hhhmm!
Na tena yaliyonchoma
Maumivu makali
Manyanyaso
Hhhmm!
Si mzima wa nafsi
Siwezi kudanganya
Uwepo wako
Unanifanya nalia
Fanya urudi basi
Japo kuntazama
Oh! me mwenzako
Ukweli naumia

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba Mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Japo nipone)
Nikuone (Niiiikuone)

Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere Manjegere Manjegere
Aah roho yangu
Manjegere Manjegere Manjegere
Nimekukumbuka sana ooh!
Manjegere Manjegere Manjegere
Mwenzio roho yangu
Manjegere Manjegere Manjegere
Hata silali

Kutwa nzima nawaza
Kisa nini darling
Kama sikukupa raha
Bado sijajua
Namaliza naianza
Nijapo tafakari
Njoo uniwashie taa
Kiza kitaniua
Muda mwingine nakesha tuu macho
Usingizi sina
Ikinijiaga tu sura yako
Huwa nazizizma
Mpaka nashikwa
Kigagaziko hata maneno kuyaongea
Yote sababu ya masikitiko
Haki ya Mungu unanionea

Kinachiniongeza kizunguzungu
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikimuomba Mungu
Wallah simanzi
Kinachoniongeza mawazo
Hata huniwazi
Kutwa nakesha nikilalamika
Njoo basi nikuone

Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Njoo basi Nikuone)
Nikuone (Nikuone mama)
Ukowapi nikuone
Nikuone (Nikuone)
Nikuone (Eeh Eeh eh nipone)
Nikuone (Niiiikuone)

Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere Manjegere Manjegere
Aah roho yangu
Manjegere Manjegere Manjegere
Nimekukumbuka sana ooh!
Manjegere Manjegere Manjegere
Hhhm me Mwenzio roho yangu
Manjegere Manjegere Manjegere
Hata silali

Niliyoyasikia ya leo
Makubwa..!
Afadhali ya jana
Makubwa..!
Huwaga naona kwa video
Makubwa..!
Aaah Ah!
Ni mazito mama
Niliyoyasikia ya leo
Makubwa..!
Afadhali ya jana
Makubwa..!
Huwaga naona kwa video
Ooh na roho yangu inaenda
Manjegere
Nimekukumbuka sana ooh!
Manjegere Manjegere Manjegere
Hhhm me Mwenzio roho yangu
Manjegere Manjegere Manjegere
Eeeh Eeh!
Hata silali